STOCKE CITY imefanikiwa kumsajili winga wa timu ya taifa ya Egypt Ramadan Sobhi kutoka klabu ya Al Ahly mabingwa wa kihisoria klabu bingwa Afrika kwa ada ya €6 million.
Sobhi mwenye miaka19, amekuwa ingizo jipya na la kwa kwa Sotke City katika msimu wa 2016/2017 na tayari amepata kibali cha kazi .
Ramadan Sobhi ameshinda mataji sita akiwa na Al -Ahly akicheza kama winga.
Sobhi vilevile alikuwa ananyemelewa na AS Roma ya Italia na Arsenal ya England zote zinashiriki ligi kuu katika mataifa hayo.


0 comments:
Post a Comment